RAIS Magufuli leo ameanza ziara ya siku nne kwenye mikoa ya Singida, Tabora, Shinyanga na Geita.
Akiwa Singida, Rais amesema "Wale wataoleta vurugu nchini
nitawashughulikia kikamilifu bila huruma. Watambue kuwa mimi sijaribiwi,
wasinijaribu"
Zaidi teremka nayo.
Chapisha Maoni