Ijumaa, 24 Februari 2017

WIZARA YA AFYA YAANZA SAFARI YA DODOMA LEO

Image may contain: outdoorKatika kutimiza lengo la serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais Dk. John Magufuli, la kuhamia mjini Dodoma, awamu ya kwanza ya watumishi wa Wizara ya Afya , Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeondoka hii leo kuelekea mkoani humo.Image may contain: outdoorGari hili limetumika kubeba vifaa mbalimbali vya ofisiImage may contain: tree and outdoorVifaa vikiendelea kupakiwa kwenye gari hilo.Image may contain: outdoorBaadhi ya vifaa vya ofisi.Image may contain: sky, tree and outdoorSafari ikaanza rasmi.