Recent Post


 


moja

Responsive Advertisement

Tahadhari imetolewa na Shirika la Chakula na Kilimo Duniani (FAO) ijumaa ikisema mlipuko wa maradhi hayo, uchukuliwe kwa tahadhari na nchi zinazosafirisha sato.


FAO imezitaka nchi hizo zihakikishe zimechukua hatua madhubuti za kudhibiti hatari kwa kuimarisha upimaji, kusisitiza hali za afya, kuchukua hatua za kuarantini na kuweka tayari na mipango ya dharura.

Kwa mujibu wa Kitengo cha Habari na Mfumo wa Tahadhari FAO, mapema kilitoa tangazo hilo, virusi hivyo viitwavyo Tilapia Lake Virus (TiLV) sasa vimethibitishwa katika nchi tano kwenye mabara matatu duniani ikiwamo Colombia, Ecuador, Misri, Israel na Thailand.

Shirika hilo linasema ingawa kwa sasa virusi hivyo havina hatari yoyote kwa afya ya binadamu, vina uwezekano mkubwa wa kuathiri uhakika wa chakula na lishe duniani.

Mwaka a2015 biashara ya Sato duniani ilikadiriwa kuwa na thamani ya Dola Bilioni 1.8

Chanzo:
Mhenga Blog

======


The Food and Agriculture Organization (FAO) of the United Nations issued an alert on Friday over a contagious and lethal virus affecting popular tilapia fish.

Although not a human health risk, Tilapia Lake Virus (TiLV) has a large potential to impact global food security and nutrition, the organization said in a release.

"The outbreak should be treated with concern and countries importing tilapias should take appropriate risk-management measures: intensifying diagnostics testing, enforcing health certificates, deploying quarantine measures and developing contingency plans," the FAO said.

Tilapia Lake Virus (TiLV) has now been confirmed in five countries on three continents: Colombia, Ecuador, Egypt, Israel and Thailand.

While the pathogen poses no public health concern, it can decimate infected populations.

Countries are encouraged also to launch public information campaigns to advise fish farmers of TiLV's clinical signs, the economic and social risks it poses and the need to flag large-scale mortalities to biosecurity authorities.

Currently, active TiLV surveillance is being conducted in China, India, Indonesia and it is planned to start in the Philippines.

In Israel, an epidemiological retrospective survey is expected to determine factors influencing low survival rates and overall mortalities including relative importance of TiLV.

In addition, a private company is currently working on the development of live attenuated vaccine for TiLV.

Post a Comment

saba

nane


 


sita

Responsive Advertisement