Jumatano, 12 Julai 2017

HOSPITALI TEULE YA MKOA WA GEITA YAPONGEZWA

Picha ya Catherine SunguraWaziri Ummy akimjulia hali mmoja wa wagonjwa waliolazwa hospitalini.

Na Veronica Romwald, Dar es Salaam

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu ameipongeza Hospitali Teule ya Rufaa ya Mkoa wa Geita kwa kuanzisha kitengo cha ubora wa huduma ambacho kinasaidia kuimarisha huduma zitolewazo pamoja na afya za wagonjwa ikiwapo lishe na huduma ya mama na mtoto.
Picha ya Catherine Sungura
Waziri ummy, akifafanua jambo hospitalini hapo. Picha ya Catherine Sungura
Wahudumu wa afya katika hospitali hiyo wakimsikiliza kwa makini Waziri Ummy (hayupo pichani)Picha ya Catherine SunguraPicha ya Catherine Sungura