Recent Post


 


moja

Responsive Advertisement
Related imagePicha na mtandao

NA VERONICA ROMWALD - DAR ES SALAAM

MEI 8, 2018 Onesmo Mhehwa aliyekuwa Daktari Bingwa wa Usingizi kwa Watoto na Wagonjwa Mahututi katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) alifariki dunia.

Akiutangazia umma, Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI, Profesa Mohamed Janabi alisema daktari huyo alifariki kutokana na kuugua ugonjwa wa LUPUS ambao hadi sasa wataalamu bado hawajagundua tiba yake.

Kifo cha daktari huyo kimeipa 'pigo' JKCI kwani ndiye aliyekuwa mbobezi pekee kwa upande wa tiba ya usingizi kwa watoto.

Mei 10, kila mwaka nchi zilizoendelea huadhimisha siku ya lupus ambapo jamii hupewa elimu kuhusu ugonjwa huo, hapa nchini bado jamii haina uwelewa wa kutosha.

Makala haya yatakujia kwa kina hivi punde...
http://matukionamaisha.blogspot.com/2018/05/je-kwanini-lupus-hutesa-zaidi-wanawake.html?m=1

Post a Comment

saba

nane


 


sita

Responsive Advertisement