moja

Responsive Advertisement
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgRd-cAGDTVtPkuiLtaoHsXnqEPH6AYjysFRAQ2bIQhoNKE59ZlD3gKfV5IBIA0Gq2S_IczNbyNP6bkma80SoBDDGOFiuz1VsqeJxnZl2ldHyCM6ifg3kYB7Urj4Unsti34r78-3En6TJQb/s640/DSCN9851.JPG 
*Picha na Mtandao.
 
Na Veronica Romwald, Dar es Salaam

Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Mbeya, Marry Mwanjelwa amesema amepokea simu nyingi za wabunge mbalimbali wakimpa pongezi, kufuatia uteuzi wa Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Mlima wa Moto, Mikocheni B Assembles of God, Dk. Getrude Rwakatale.
 Image may contain: text
Mwanjelwa alisema hayo jana alipokaribishwa kuwasalimia waumini wa kanisa hilo katika ibada ya sikukuu ya pasaka.
 https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhTfyLg7hBWZGEs73Y6D16F5snFBafWIf1whXLEEdRRpv1a4FKlevxT3fEZciEPyl883zd_fvI6cJbNxIHpwlrBNXXmNulBoY1EIguDDpcnhf2VGK4Q-68bZOp3g2hBxo64Suha8l34Zec/s1600/mamarwakatare%255B1%255D.jpg
"Wabunge wote wanajua kwamba mimi ni mtoto wa mama (Rwakatale) ni muumini wa mlima wa moto, wamefurahi mno waliposikia Rais John Magufuli amemteua kuwa mbunge, na kwa pamoja tumejiandaa kukupongeza (Mchungaji) ukija Bungeni," aliweka wazi.

Post a Comment

saba

nane


 


sita

Responsive Advertisement