Recent Post


 


moja

Responsive Advertisement

 
Nyota wa R&B, Maria Carey akiwa na  bilionea, James Packer.


CANNES, Ufaransa

HISIA ni kitu kingine! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya nyota wa R&B, Maria Carey, 45, kunasa katika penzi la bilionea, James Packer, 47, raia wa Australia.

 Maria, aliwahi kuolewa na Nick Cannon lakini waliachana Agosti mwaka jana kwa talaka baada ya kudumu kwenye uhusiano kwa miaka sita wakiwa na watoto wawili mapacha.
 
Taarifa ni kwamba hivi sasa mwanamama huyo mrembo amenasa kwenye penzi la bilionea huyo kijana. Imeripotiwa kuwa, Maria na James wamekuwa karibu na wamekuwa wakionekana pamoja wakila raha huku wakionekana sehemu mbalimbali kama Casino, migahawani na kwenye boti wakiwa wameshikana mikono kimahaba.  (DK)

  
Bilionea huyo ameripotiwa na Jarida la Forbes kuwa anashika namba nne kwa utajiri nchini Australia.

Post a Comment

saba

nane


 


sita

Responsive Advertisement