Recent Post


 


moja

Responsive Advertisement
Diamond na Penny enzi za uhai wa penzi lao

MKALI wa muziki wa kizazi kipya Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, Naseeb Abdul ‘Diamond’, amefunguka kuwa mpenzi wake wa zamani, Penny alimsaidia kwa kiasi kikubwa kujua kuizungumza kiufasaha Lugha ya Kiingereza.

Kwa mujibu wa Diamiond, Penny alimsaidia kutafuta walimu wenye uzoefu na kuwaleta nyumbani kumfundisha lugha hiyo.


 “Kati ya wapenzi wangu ambao nishawahi kutembea nao na sitokuja kuwasahau ni Penny kwa sababu amenisaidia sana kujua Lugha ya Kiingereza kwa kuniletea walimu nyumbani ili wanipe mwangaza.


“Kiukweli najisikia furaha sana baada ya kujua lugha hii ingawa kuna muda nachapia chapia lakini si haba najua kuomba maji ya kunywa nikiwa na wasanii wenzangu ndani na hata nje ya nchi,” alisema Diamond.

Post a Comment

saba

nane


 


sita

Responsive Advertisement