Recent Post


 


moja

Responsive Advertisement
 
Muda Mchache baada ya Tuzo za MTV MAMA 2015 kuisha na Diamond kuchukua tuzo ya Best Live Act ambayo alikua akishindania na wakali kama Mr Flavor, Too Fan na Mikasa. 

Babu Tale kupitia akaunti zake zote za mitandao ya kijamii alipost picha hii ikimuonyesha Diamond ameweka Dole la Kati na Kuandika Hivi.

"Unaweza kudanganya watu kwa mda mfupi..lakini huwezi kudanganya watu wote kwa mda wote..ahsante MTV kwa kutambua kipaji na juhudi zetu"


Angalia Picha za MAMA 2015 kwa kubonyeza Link Hii MTV MAMA 2015 Pictures

Post a Comment

saba

nane


 


sita

Responsive Advertisement