Wakati
kufungwa kwa dirisha la usajili kukipelekwa mbele, mchezaji wa kimataifa
wa Burundi na aliyekua mume wa mcheza filamu maarufu wa Tanzania Irene
Uwoya ameingia mkataba wa mwaka mmoja wa kuichezea timu ya Stand United
ya mkoani Shinyanga.
Ndikumana
alifahamika na wengi nchini baada ya kucheza klabu ya Simba na baadae
kufunga ndoa na muingizaji huyo kutoka kiwanda cha Bongo Movie baada ya
kuandikwa sana kwenye vyombo vya habari.
Sports
Extra imepiga story na Ndikumana kuhusiana na maisha yake ya soka pamoja
na mahusiano yake na mkewe ambaye hivi karibuni ameshinda kwenye kura
za maoni kuwania nafasi ya ubunge mkoani tabora kwa tiketi ya viti
maalum.
Hapa
chini kuna story nzima ya Ndikumana akieleza kila kitu kuhusu maisha
yake ya sona pamoja uhusiano wake na Uwoya.
Bofya hapo usikilize
mwenyewe kila kitu.
Chapisha Maoni