Recent Post


 


moja

Responsive Advertisement
IMG-20150927-WA0020 
SIKU sita baada ya Mahakama ya Wilaya ya Ilala kumwachia huru MWIMBAJI mahiri wa muziki wa injili na mfanyabiashara Emmanuel Mbasha dhidi ya kesi ya ubakaji iliyokuwa ikimkabili, ametoa sadaka ya shukurani kwa Mungu.
IMG-20150927-WA0015
Mbasha akiimba
kwa mujibu wa taarifa iliyowekwa katika blog ya James Temu maarufu kama auncle Jimmy ilieleza kuwa Mbasha ametoa sadaka hiyo September 27 huku zikiwekwa picha zinazoonesha akifanyiwa maombi na Mchungaji Mwakiborwa wa kanisa la Mito ya Baraka.
IMG-20150927-WA0021
akiombewa na Mchungaji Mwakiborwa

"Septemba 27 itakuwa imeweka historia nzuri kwa muimbaji wa muziki wa Injili Emmanuel Mbasha, Hii ni baada ya kwenda kumtolea Mungu shukrani kwa kushinda kesi yake," iliandikwa.
IMG-20150927-WA0018
Akibubujikwa na machozi ya furaha
Taarifa hiyo ilisema Mbasha aliambatana na wadogo zake pamoja na baba yake mzazi aliweza kuelezea ni jinsi gani alikuwa akipata na mawazo ya kutaka kujiua, kuona walimwengu ni wabaya na hata wakati mwingine kujihisi ametengwa.
IMG-20150927-WA0032
akiwa na wadogo zake
Katika ibada hiyo ya shukrani naye muimbaji na Mchungaji  Masanja mkandamizaji alimshukuru Mungu kumpatia gari aina ya coaster itakayoshugulika na huduma yake ya STREET PASTOR. Unataka kusikia mengi kuhusu Emmanuel Mbasha.
IMG-20150927-WA0039
Masanja akimtukuza Mungu katika ubora wake

Sauti ya Mbasha akiongea na kueleza furaha yake cheki …Unclejimmytemu na msikilize  akiongea na Reporter wake Hezron Marwa.
IMG-20150927-WA0056
Mbasha akiwa na Masanja

Source: Unclejimmytemu.blogspot.com

Post a Comment

saba

nane


 


sita

Responsive Advertisement