Recent Post


 


moja

Responsive Advertisement
CHIPUKIZI anayekuja kwa kasi kwenye muziki wa kizazi kipya, Amina Huseein ‘Mina’(Pichani), amesema anatamani kufanya kazi na mkali wa masauti, Christian Bella.

Mina aliliambia gazeti la BINGWA kuwa, atakapofanya kazi na Christian Bella ana imani ataweza kuongeza mashabiki wapya tofauti na alionao sasa.
Christian Bella
“Kufanya kazi na Bella naamini kiwango chake kitasaidia kufika mbali ikiwa ni pamoja na kuongeza idadi ya mashabiki tofauti na hawa nilionao ukizingatia sisi wasanii wa mikoani inakuwa ni ngumu kusikika,” alisema Mina.

Post a Comment

saba

nane


 


sita

Responsive Advertisement