Recent Post


 


moja

Responsive Advertisement
3 - Copy
Kama uliangalia mechi vizuri kati ya TP Mazembe na USM Alger ni kwamba pale Mbwana Samatta alipofunga penati, alikimbilia kwa mashabiki na kuchukua bendera ya Tanzania.
 4
Lakini kama kawaida mastory yote ya uwanjani na nje ya uwanja unayapata hapa hapa kwenye shaffihdauda.co.tz. Sasa story kuhusu ile bendera ni kwamba ilitengenezwa na watanzania wanaoishi Lubumbashi baada ya kukosa bendera ya Tanzania walivyotaka kwenda uwanjani.

Walichokifanya ni kutafuta vitamba vya blue, nyeusi na njano wakaunganisha kama unavyoona kwenye picha ili kutengenezea bendera ya Tanzania. 

Tatizo likaja pale kupata rang ya blue ili kukamilisha bendera ya Tanzania.
3
 Walivyokosa kitambaa cha blue wakachukua cha Zambarau kama unavyoona hapo na kujiridhisha kwamba hiyo ni bendera Tanzania. 

Waliingia nayo uwanjani na bahati nzuri wakapata kiti cha mbele na Mbwana Samatta akaenda kuichukua ile bendera bila kujua.

2
Source Shaffii Dauda

Post a Comment

saba

nane


 


sita

Responsive Advertisement