RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi , Dk.
Ally Mohamed Shein amefuata nyayo za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.
John Pombe Magufuli kwa kufanya usafi katika uzinduzi wa maadhimisho sherehe za
mapinduzi ya Zanzibar.
Picha mbalimbali zilizotumwa na wapigapicha wa Ikulu ya
Zanzibar zinamuonesha Rais Dk. Shein akishiriki kufanya usafi katika maeneo
mbalimbali akiwa pamoja na viongozi mbalimbali.
kikosi cha JWTZ kikishiriki usafi Zanzibar |
Desemba 9, mwaka jana Rais Dk. Magufuli aliagiza watanzania kufanya usafi ikiwa ni sehemu ya kusherehekea siku ya Uhuru wa Tanganyika.
Rais Magufuli akizoa taka |
Chapisha Maoni