Mwenyekiti mpya wa bodi taasisi ya Moyo ya Jakaya Profesa William Mahalu Julai 27, mwaka huu alifika JKCI kwa utambulisho kwa viongozi wa taasisi wakiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji Profesa Mohamed Janabi.
Changamoto kubwa walilomweleza Mwenyekiti mpya ni ufinyo wa nafasi na
waliomba mwenyekiti alipe kipaumbile.Profesa Mahalu akizungumza na Profesa Janabi
Mwenyekiti
alipewa taarifa za taasisi na jinsi linavyookoa maisha ya wa tanzania na
mabilioni ya fedha ambazo zingetumika kupeleka wagonjwa nje ya nchi.
Akiwasalimia baadhi ya wafanyakazi wa JKCI
Changamoto kubwa walilomweleza Mwenyekiti mpya ni ufinyo wa nafasi na
waliomba mwenyekiti alipe kipaumbile.
Chapisha Maoni