Recent Post


 


moja

Responsive Advertisement


Na Mwandishi Maalumu, Dar es Salaam

HOSPITALI ya Taifa Muhimbili (MNH) leo imefanya hafla fupi ya kuwakabidhi cheti wafanyakazi bora 53 waliochaguliwa kati ya 3200.

Akizungumza katika hafla hiyo, Kaimu Mkurugenzi wa MNH, Profesa Lawrence Museru alisema wafanyakazi hao walifanya vyema mwaka 2015/16.

Mbali ya cheti hicho wafanyakazi hao pia wamepewa fedha kiasi cha Sh. 500,000 kama motisho ili wazidi kufanya kazi kwa bidii kuongeza mafanikio ya hospitali hiyo katika kuhudumia wagonjwa.
 


 Furaha isiyo kifani, goti mpaka chini.
 Hongera sana mama
Mmefanya kazi nzuri mno

  Washiriki wakifuatilia jambo kwa makini

Post a Comment

saba

nane


 


sita

Responsive Advertisement