TAASISI ya Tiba ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu (MOI) leo inaungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha siku ya mtoto mwenye kichwa kikubwa.
Maadhimisho hayo yanafanyika katika viwanja vya hospitalini hapo ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu.
Chapisha Maoni