Recent Post


 


moja

Responsive Advertisement
BALOZI wa Kuwait nchini, Jaseem Al Najem akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Moyo ya Jakaya Kikwete na Kaimu Mkurugenzi, Dk. Peter Kisenge alipoitembelea taasisi hiyo hii leo
Balozi huyo ameahidi kusaidia kujenga benki ya kuhifadhi na kutolea damu kwa ajili ya kuwezesha hospitali hiyo kutoa huduma kwa ufanisi zaidi.
Ametoa pia msaada wa vifaa tiba kadhaa ikiwamo mifuko ya kuhifadhi damu na mashine za kupima kiwango cha presha
Ziara ikiendelea.
Wakiwa katika chumba kitakachorekebishwa kwa ajili ya kujengwa benki ya damu
Balozi huyo pia ametembelea Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu (MOI) kulia kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Dk. Othuman Kiloloma
Amekabidhi vifaa mbalimbali pamoja na dawa
Ameahidi pia kuisaidia kupata mashine ya CT- Scan na X-ray nyingine
Ametembelea pia katika benki ya damu iliyopo upande wa Hospitali ya Taifa Muhimbili
Akifafanuliwa jambo na Mkuu wa Idara ya Maabada wa hospitali hiyo, Dk Alex
Wakijadiliana jambo
Majadiliano yakiendelea
Wakitembelea vyumba mbalimbali katika maabara hiyo
Akikabidhi msaada wa vifaa tiba na dawa
Akiagana na mkuu huyo wa Idara.

Post a Comment

saba

nane


 


sita

Responsive Advertisement