Recent Post


 


moja

Responsive Advertisement
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhAx2oTnTkOTVn39KftGMMNJNKtkpDFu0EPN8JCt5HR4RfRFfbVOZDgTfqy-Yzv-ur96wPNuuiQsZQLADg-fDMisHQ0lQKdcnPyEtoDG1j_pLeBrMmEJLWMq7Yv5uoxKzFwoSiuGF8ow0ON/s1600/b11.jpgTENKI la kuhifadhia majitaka katika Soko la Kimataifa la Samaki (Feri),  limepasuka na hivyo kukabiliwa na changamoto za kulipuka kwa magonjwa ya mlipuko.

Mwenyekiti  wa Soko hilo, Omary Mtolea, amesema tatizo la miundombinu ni changamoto inayolikabili soko hilo kwa muda mrefu.
 https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjYMRjL8dlZfO1VY-KmEAHklT2-3Q3XD1fAbA9z5qR-2xVOgTcyXG8VASCIFD84x0FrI68_jzGDolKcGG7TzweCSYrrkh-X8zYQZQZSLdfQzGjc5GMVsFSDrxPCfHsP-6hbzVFH9C4tb1QP/s1600/SAMAKI.JPG
Mtolea amesema jambo hilo limesababisha chemba moja kupasuka na kumwaga maji hayo machafu nje ya utaratibu.

Amesema baada ya kuona tatizo linazidi kuwa kubwa waliamua kupeleka malalamiko yao Halmashauri ya Ilala ambao waliahidi kulitengeneza, lakini hadi sasa hawajaona jitihada zozote kunusuru afya za wadau wa soko hilo.
 https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhlFceVEfvpeO5Bb1ExrULehKm3fuQrKjf9_nr15dT5Rg6YPYEsaY7jm5VIRbf2bpb1Kmctz4sebhWmZgnDkCwI5eOD43gC1DoHeVVVydQOjVVrQ6kEnOuOq5Kb4m14teiLtHjwng6TFOrr/s1600/IMG_0884.JPG
“Mkandarasi anayesimamia usafi na ushuru katika soko hilo, anatarajia kumaliza mkataba wake ifikapo Desemba mwaka huu.

“Hivyo tutajipanga upya jinsi tutakavyoona inafaa ikiwa ni pamoja na kufanya tathimini kuweza kujiridhisha kama anaweza kuendelea au kuachia ngazi,”amesema Mtolea.

Chanzo: MTANZANIA

Post a Comment

saba

nane


 


sita

Responsive Advertisement