Recent Post


 


moja

Responsive Advertisement

Displaying Screenshot_2016-12-28-17-06-43.png 
NI swali ambalo mashabiki wake wamebaki wakijiuliza, baada ya muimbaji huyo mahiri wa muziki wa injili nchini, kuweka picha iliyoacha maswali kwa mashabiki wake huku wengine wakimpa pongezi.

Mbasha ametupia picha hiyo katika ukurasa wake wa Instagram akiwa na dada aliyevalia vazi la bibi harusi huku mwenyewe akiwa amevalia suti bomba.

Watu wengi waliipenda (like) picha hiyo ambapo hadi kufikia jioni ya saa 11 walikuwa jumla ya 739.
 Displaying Screenshot_2016-12-27-20-17-50.png
Wengine walitoa pongezi kwa mwimbaji huyo anayetamba na wimbo wake wa haribu mipango ya shetani.

Itakumbukwa kwamba hivi karibuni alitengana na aliyekuwa mke wake Flora Mbasha baada ya kuisha kwa kesi ya ubakaji iliyokuwa ikikambili.
 Image may contain: one or more people and people sitting
Yafuatayo ni maneno ya mashabiki wake walioandika katika ukurasa wake huo.
 
hellenu36Nguo ulizovaa😂, Umependeza Sana Sana!! Je huyo ni New wife? 😂Maana PC imekaa kiharusi harus,ila hamjashikana mkono kuashiriria mke na mume. Kiukweli Mmependeza Sana Alafu Mnaendana😁😁 

amydah_Umeoa kaka





rynbenyIko siko yako tu, nawe ubarikiwe....... @e.mbasha 

jmwami11big up 

newtnmoyevepe ndo shem mupya au. tuambie mashabiki zako tunataka kujua 

jeska_josephUmeowa baba  

luckystone_tzumeoa mzee @e.mbasha mbasha 

racheltzsammyCongrats 
dadymapundaShemelaaaa

Majibu ya maswali haya anayo Mbasha mwenywe tusubiri.

Post a Comment

saba

nane


 


sita

Responsive Advertisement