Recent Post


 


moja

Responsive Advertisement
RAIS Dk. John  Magufuli,  ametoa zawadi  ya vyakulakwa watu walio katika makundi  maalum wakiwemo watoto wanaoishi katika  mazingira hatarishi,watu wenye ulemavu pamoja na wazee.  
Zawadi hizo zimekabidhiwa kwa wasimamizi wa vituo saba Dar es Salaam na Kamishina Msaidizi, Ustawi wa Jamii wa Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,Beatrice Fungamo kwa niaba ya Rais Magufuli.


Amesema Rais Magufuli ametoa zawadi ya mbuzi na mafuta ya kupikia zenye thamani   ya Sh milioni 8.475.  
Amesema Rais Magufuli ameyakabidhi makundi hayo zawadi hizo kwa ajili ya kuwawezesha kusherehekea sikukuu ya Krismasi na Mwaka mpya kama makundi mengine.

Post a Comment

saba

nane


 


sita

Responsive Advertisement