Recent Post


 


moja

Responsive Advertisement
NA VERONICA ROMWALD, DAR ES SALAAM

IJUMAA ya Januari 27, mwaka huu, katika viwanja vya Chuo cha Royal Tanzania (RCT) palipendeza, yes ilikuwa ni sikukuu ya wana-royal wenyewe wanaitamka kwa 'kidhungu' Rolay day.
Jambo la kwanza lilikuwa kumtanguliza Mwenyezi Mungu na vijana hao wawili walituongoza vema katika maombi/ dua hiyo.
 Hapa ilikuwa ni muda wa mdahalo mada ilikuwa inahusu je wanawake wanaweza au wanafaa kushika nafasi mbalimbali za uongozi.
Mada ilipamba moto.
 Wanafunzi wapo makini kufuatilia hoja za wanaokubali na wanaopinga.
 Jamaa alikuwa anatetea hoja na majaji wapo makini kunakili.
 Alitetea hoja hadi akaongezewa muda, mzuka kama vile ulimpanda hapa.
 Ukafika muda wa igizo, mshikaji alikuwa akimwaga sera kwa binti ila binti anazingua.
 Si akafanya yake (means akambaka) lol! ikabidi shosti asaidiwe kurudi nyumbani kwao na rafiki yake.
 Baba aliwaka balaa, eti imekuwaje tena.
 Shosti naye akatoa ufafanuzi alivyomkuta rafiki yake.
 Ikabidi watoe taarifa ofisi ya serikali ya mtaa.
Wakaandikiwa maelezo, wakaenda polisi.
 Walimu walikuwa wakifuatilia kwa makini kila kinachoendelea jukwaani, mwisho mshitakiwa alitiwa hatiani na akahukumiwa kwenda jela miaka 30.
 Hawa walishindana kunywa soda, mambo yalikuwa bambam.
Wa- kati kati ni nouma, aliwashinda wenzake kwa sekunde 9.9. baadae vumbi lilitimka uwanjani watu walisakata soka la maana. 
Mkuu wa Chuo amewataka walimu na wanafunzi kuishi kwa umoja, amani na mshikamano kipindi chote.

Post a Comment

saba

nane


 


sita

Responsive Advertisement