moja

Responsive Advertisement
Picha ya Rayson BensonNa Mwandishi Maalum, W-Afya

KATIBU Mkuu Wizara ya Afya, Dk. Mpoki Ulisubisya (mwenye miwani) amewahasa wafanyakazi wa Wizara hiyo kujiepusha na vitendo vya kupokea rushwa pindi watoapo huduma kwa wananchi.
 
Picha ya Rayson Benson
Dk. Mpoki ametoa rai hiyo alipozungumza kwenye kikao cha uzinduzi wa baraza jipya la wafanyakazi wa wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto.
 Picha ya Rayson Benson
Dk. Mpoki akiongoza wajumbe kuimba wimbo wa mshikamano

Kikao hicho kimefanyika leo jijini Dar es salaam, katika ofisi ndogo ya wizara hiyo.
 Picha ya Rayson Benson
Kikao hicho kilihudhuriwa na wajumbe wote wa baraza hilo.Picha ya Rayson Benson

Post a Comment

saba

nane


 


sita

Responsive Advertisement