Waziri Ummy akimjulia hali mmoja wa wagonjwa waliolazwa hospitalini.
Na Veronica Romwald, Dar es Salaam
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu ameipongeza Hospitali Teule ya Rufaa ya Mkoa wa Geita kwa kuanzisha kitengo cha ubora wa huduma ambacho kinasaidia kuimarisha huduma zitolewazo pamoja na afya za wagonjwa ikiwapo lishe na huduma ya mama na mtoto.
Waziri ummy, akifafanua jambo hospitalini hapo.
Wahudumu wa afya katika hospitali hiyo wakimsikiliza kwa makini Waziri Ummy (hayupo pichani)
Chapisha Maoni