Kuwa kuanzia tarehe 28 nov hadi 3 dec 2017,itaendesha kampeni ya kugawa Kingatiba za magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele kama minyoo ya tumbo, matende na mabusha au ngirimaji.
Walengwa ni wananchi wote wenye umri kuanzia miaka 5 na kuendelea.
Kila mwananchi wa mkoa wa Dar es salaaam jitokeze kupata Kingatiba hizi.
huduma hii inatolewa bila malipo yoyote katika vituo vyote vya Afya na Hospitali za serikali na binafsi, pamoja na Vituo maalum vilivyotengwa kama Vituo vya mabasii, ofisi za serikali/kata, wizara na taasisi zote za umma.
-tangazo hili limetolewa na wizara ya afya Maendeleo ya jamii jinsia wazee na watoto
Chapisha Maoni