Recent Post


 


moja

Responsive Advertisement

Mkurugenzi wa Idara ya Uuguzi na Ukunga wa Wizara hiyo, Gustav Moyo akizungumza leo katika kikao hicho. 

Na Veronica Romwald, Dar es Salaam

WAUGUZI wanne na Wakunga wanne watatunukiwa tuzo na serikali ikiwa ni hatua ya kuutambua mchango wa kazi zao wanazofanya kila siku katika kuhudumia jamii.

Watumishi hao watakabidhiwa tuzo zao na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu ambaye anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika 
Kongamano la Kisayansi la Wauguzi na Wakunga linalotarajiwa kufanyika mkoani Dodoma April 4 hadi 7, mwaka huu.

Hayo yamesemwa leo na Mkurugenzi wa Idara ya Uuguzi na Ukunga wa Wizara hiyo, Gustav Moyo alipozungumza katika semina ya siku moja ya kuwajengea uelewa waandishi wa habari kuelekea maadhimisho ya kongamano hilo.

Post a Comment

saba

nane


 


sita

Responsive Advertisement