Recent Post


 


moja

Responsive Advertisement

Ofisa Uhusiano wa Hospitali ya CCBRT, Abdul Kajumulo ni miongoni mwa waliohitimu hapo jana, Chuo Kikuu cha St. Augustine Tanzania, Shahada ya Uzamili ya mawasiliano ya Umma.

Amewapa ujumbe huu vijana nchini...

"Vijana wasikate tamaa safari ya kupata maarifa ina changamoto nyingi lakini kutokuwa na maarifa/elimu changamoto zake ni kubwa zaidi tukumbuke usemi usemao; Kama unadhani elimu ni ghali, basi jaribu ujinga. 

"Hivyo kila  unapopata fursa au wasaa pata maarifa mapya,ulishe ubongo wako kitu kizuri kipya manufaa yake ni endelevu hata baada ya mtu kuondoka duniani"

Kajumulo ni miongoni mwa wadau wakubwa wa MATUKIO NA MAISHA BLOG, tunampongeza mno kwa hatua hiyo ya kuhitimu masomo yake.

Post a Comment

saba

nane


 


sita

Responsive Advertisement