Recent Post


 


moja

Responsive Advertisement


Afrika Kusini

Mtanzania Ahmadi Mbwana Chonde (50) amekamatwa na Kitengo cha Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya  cha Jimbo la Gauteng Nchi Afrika ya kusini akiwa na Dawa za kulevya aina ya heroin kilo mbili.

Taarifa iliyotolewa usiku huu na Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya {DCEA} kwa vyombo vya habari imeeleza Chonde alikamatwa nchini humo Desemba 20, 2022 katika uwanja wa ndege wa jijini Cape town.

DCEA imeeleza, Chonde alikamatwa akiwa hati ya kusafilia yenye namba  TAE145658 akisafilisha dawa za kulevya akitokea mji wa Capetown nchini Afrika ya Kusini kuelekea nchini India katika miji ya Kochi na  Chennai kupitia Doha.

Katika taarifa hiyo, imeelezwa Mtanzania huyo alikuwa ameficha dawa hizo  za kulevya ndani ya sanduku lake alilokuwa akisafiri nalo.

Post a Comment

saba

nane


 


sita

Responsive Advertisement