Recent Post


 


Inaonyesha machapisho kuanzia Machi, 2021

Rais Samia apangua Baraza la Mawaziri, asisitiza 'zege' hailali, nyota ya Waziri Ummy yazidi kung'aa

*Amwapisha rasmi Dk.M mpango kuwa Makamu wa Rais *Tanzania yapata pia Katibu Mk…

Huduma ya maabara ni 'nyeti', zile ambazo ni bubu lazima zisajiliwe hadi kufikia April 30 - Dk. Grace

Na Emmanuel Malegi – DSM Wamiliki wa Maabara bubu nchini ambazo hazijasajiliwa …

Serikali yaanzisha madawati ya ulinzi kwa watoto mashuleni

Na. Catherine Sungura, WAMJW-Dodoma Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,…

Serikali itahakikisha upatikanaji wa dawa unakuwa wa kuridhisha

Na.WAMJW,Dodoma Serikali imeendelea kuhakikisha upatikanaji wa dawa, vifaa, vif…

Dar yafanikiwa kuibua waganga wa kienyeji na wateja wao wenye TB

Na Veronica Mrema – Dar es Salaam Baadhi ya waganga wa kienyeji, Dar es Salaam,…

Tahadhari yatolewa na Wizara ya Afya kuhusu matapeli wanaotangaza ajira

Buriani Mwanamwema wa Bara la Afrika, Hayati Dk. John Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitia Udongo…

Kwa kheri Shujaa wa Afrika, Hayati Dk. John Magufuli

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Machi 25, 2021. ameshiriki katika tukio la kua…

Ramaphosa: Magufuli aliamini tunapaswa kulinda tamaduni, mila, desturi na kuheshimu lugha zetu

Na Veronica Mrema  Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa  (pichani), amesema …

Nilihusudu utendaji kazi wa Magufuli, nimejifunza mengi kwake, hakuna kitakachoharibika - Rais Samia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiuaga mwili wa …

Magufuli ameionesha dunia, Afrika tuna uwezo kusimamia uchumi wetu - Kenyatta

Na Veronica Mrema  Rais wa Jamhuri ya Watu wa Kenya, Uhuru Kenyatta amesema Hay…

Muhimbili yathibitisha kupokea majeruhi saba, maiti moja kutoka Uhuru

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma Hospitali ya Taifa Muhimbili, Aminiel…

Hayati JPM alivyopambania uanzishaji matibabu ya ubingwa wa juu na kuipaisha Tanzania kimataifa

Wataalamu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili wakifanya upasuaji wa kupandikiza fig…

Kiapo cha leo ni cha tofauti katika maisha yangu - Rais Samia

Asema si wakati wa kutizama nyuma. Ni  wakati wa kusonga mbele... kuijenga Tanz…

Tanzania yaandika historia mpya, Mama Samia aapishwa rasmi kuwa Rais

Na Mwandishi Maalum Samia Suluhu Hassan ameapishwa rasmi kuwa Rais wa Jamhuri y…

Makamu wa Rais, Mama Samia kuapishwa rasmi kuwa Rais wa Tanzania

Majonzi: Dk. Mwaiselage aongoza watumishi kumuaga Dk. Kilongola - Ocean Road

Wataalamu wa Taasisi ya Saratani Ocean Road wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili …

Fahamu kwa undani tatizo la mfumo wa umeme wa moyo

Na Veronica Mrema - Dar es Salaam Mwili wa binadamu una mfumo asili wa umeme un…

'Wigo huduma za matibabu ya moyo upanuliwe hadi vijijini' - Kamati

Na Mwandishi Maalum – Dar es Salaam Wigo wa utoaji huduma za matibabu ya moyo…

TMDA wapewa kongole utekelezaji mradi maabara ya kisasa - Mwanza

Mkurugenzi wa Huduma za Maabara, Dkt. Danstan Hipolite akieleza jambo kwa kamat…

TECLA: Nimetibiwa tatizo la kibiongo, nimepona, nina ndoto ya kutwaa taji la Miss Tanzania

Na Veronica Mrema – Dar es Salaam “Nilipofanyiwa upasuaji, siku iliyofuata nili…

Pakia machapisho mengine Hakuna matokeo yaliyopatikana